KAMISHINA TRA ,MKURUGENZI BANDARI WATEMBELEA BANDARI YA TANGA.

     Na Mwandishi Wetu,Tanga KAMISHINA  Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti  26,2024 wametembelea bandari ya Tanga.   Kamishna Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wamekubaliana kushirikiana kwa ukaribu zaidi ili kuongeza ufanisi kwenye shughuli za bandari na forodha  zitakazo ongeza mapato ya…

Read More

Serikali yajipanga kudhibiti matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua kuchukuliwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua zinazochukuliwa…

Read More

Wanaharakati wa Hali ya Hewa Wanalenga Utamaduni Usafishaji wa Kijani – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Andrew Firmin (london) Jumanne, Agosti 27, 2024 Inter Press Service LONDON, Agosti 27 (IPS) – Mashirika ya kiraia yanafanya kazi katika nyanja zote ili kukabiliana na mgogoŕo wa hali ya hewa. Wanaharakati wanaandamana kwa wingi kushinikiza serikali na mashirika kupunguza utoaji wa gesi chafuzi. Wanatumia vitendo vya moja kwa moja visivyo na vurugu…

Read More

Janga la usomaji wa zimamoto vyuoni

Unaposikia ‘zimamoto’ tafsiri inayoweza kuja haraka kichwani mwako ni kitendo cha kutumia maji, mchanga au vifaa maalum kuzima moto. Picha nyingine inayoweza kujengeka akilini ni lile gari maalum linalotumiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pale yanapotoa huduma ya kuzuia majanga ya moto katika maeneo mbalimbali. Hata hivyo, neno hilo limepata umaarufu sana kwa miongoni…

Read More

Jafo awataka TANESCO na REA kununua transfoma TANELEC

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo(Mb) ametoa rai kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuongeza kasi ya ununuzi wa transfoma zinazozalishwa na Kiwanda cha Tanelec kwa kuwa Taasisi hizo ni wamiliki wa sehemu ya hisa za kiwanda hicho ili kukiwezesha kiendelee kukua na kuongeza ajira nchini….

Read More

Zaidi ya mashirika 2,000 yatarajia kushiriki Jukwaa la nne la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NaCoNGO)

Zaidi ya mashirika 2,000 na wawakilishi kutoka mbalimbali zikiwemo nchi za Uganda, Ethiopia, Zambia na Malawi wanatarajiwa kushiriki Jukwaa la nne la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NaCoNGO huku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, akitarajiwa kulifungua rasmi.   Hayo ameyabainisha leo Jumatatu Agosti 26, 2024 Mwenyekiti wa NaCoNGO, Jasper Makalla jijini…

Read More