
SERIKALI YAZINDUA MRADI WA KUPUNGUZA GESIJOTO
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akizindua Mradi wa Kuandaa Mkakati wa Taifa wa muda mrefu wa kupunguza Uzalishaji wa Gesijoto jijini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Catherine Bamwenzaki akitoa neno la utangulizi wakati wa kikao cha uzinduzi wa Mradi wa Kuandaa…