
SERIKALI ITANUNUA MAHINDI MPAKA MBAKIZE AKIBA KWAAJILI YA CHAKULA
Serikali imesema itaendelea kununua zao la mahindi kwa wakulima mpaka pale watakapobakiza akiba yakuwatosha na familia zao huku matarajio ni hadi kufikia msimu ujao wakilimo hii nikutokana na uwepo wa fedha zakutosha kuendesha zoezi hilo nakuhakikisha wananchi wanapata malipo yao kwa wakati. Hayo yameelezwa na wasimamizi wavituo mbalimbali vya Wakala wa hifadhi ya Chakula NFRA…