
Wahandisi vijana kupigwa msasa na ERB
Dar es Salaam. Wahandisi vijana takriban 500 wanatarajiwa kushiriki katika kongamano lililoandaliwa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) likilenga kuwapiga msasa. Kongamano hilo la siku mbili kuanzia Septemba 2-3 ni sehemu ya matukio yanayotarajiwa kufanyika kuelekea mkutano wa mwaka wa wahandisi nchini unaotarajiwa kufanyika Septemba 2-3 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Amesema kongamano hilo…