Bomba la Tazama kupanuliwa, Tanzania, Zambia wajadiliana

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na ile ya Zambia zipo katika mazungumzo yanayolenga kuongeza uwekezaji katika bomba la Mafuta la Tanzania – Zambia (TAZAMA). Mazungumzo hayo yanalenga kupanua bomba la mafuta kutoka inchi 8 hadi inchi 12 ili kuliwezesha kuwa na uwezo wa kusafirisha mafuta mengi zaidi kwenda nchini Zambia…

Read More

DCEA yateketeza ekari 1,165 za bangi Morogoro

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa. Katika vijiji vya mafumbo na Lujenge…

Read More

Vibaka Moro waja na mbinu mpya, watumia kanzu, majuba

Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linafuatilia taarifa za baadhi ya wahalifu kutumia mavazi aina ya kanzu na majuba kufanya uhalifu hasa asubuhi. Hayo yameelezwa na kamanda wa polisi mkoa huo, Alex Mkama leo Jumatatu Agosti 26, 2024 alipozungumza na Mwananchi, akisema tayari wana taarifa za aina mpya ya uhalifu huo na wanazifanyia kazi. “Hizi…

Read More