Tabora United yavunja mwiko ugenini

USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Tabora United juzi katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC, umeifanya kuvunja mwiko wa kutoshinda ugenini tangu ipande daraja 2022-2023, baada ya kucheza michezo 17. Mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi, Namungo ilipata bao kupitia kwa Djuma Shabani kwa penalti dakika ya 60 huku Tabora ikisawazisha kwa…

Read More

Siku ya nne mgomo Soko Kuu Mafinga, wauza matunda, samaki wapaza sauti

Mufindi. Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara. Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema wanayategemea maduka hayo kupata bidhaa za kuuza. Mwenyekiti wa soko hilo, Philinus Mgaya…

Read More

Anza Wiki Ukiwa na Mkeka Ndani ya Meridianbet

BAADA ya wikendi kushuhudia mitanange kibao ikichezwa, hatimaye leo hii mechi mbalimbali zinaendelea na tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania wamekuwekea ODDS KUBWA hivyo ingia na ubashiri sasa. Leo hii pale SERIE A kutakuwa na mechi mbili kali sana ambapo mchezo wa mapema utakuwa ni kati ya mwenyeji Cagliari Calcio dhidi ya Como 1907 ambao wamepanda…

Read More

HISIA ZANGU: Azam wanakosa kitu kisichoonekana kwa macho

KWA sasa John Bocco anafahamu. Sure Boy anafahamu. Shomari Kapombe anafahamu. Erasto Nyoni anafahamu. Gadiel Michael anafahamu. Aishi Manula anafahamu. Hata Prince Dube ameanza kufahamu. Tatizo la Azam ni nini? Watu wamekuwa wakiulizana. Sina jibu lakini naweza kukisia kwamba kuna kitu kisichoelezeka sawa sawa kinakosekana Azam. Labda zinakosekana hisia kali fulani kwa kila anayehusika pale…

Read More

WANA MAHENGE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZITAKAZOWAINUA KIUCHUMI

Afisa Maendeleo ya Jamii, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mjini Mahenge Bw. Peter Nambunga, akiongea na washiriki waliohudhuria program maalum ya elimu ya fedha kwa umma iliyofanyika katika Halmashauri hiyo Mkoani Morogoro.Mratibu wa Mifuko na Program za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kutoka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bw. Samwel Shikona, akiwaeleza wananchi wa Mahenge fursa…

Read More

Mbu wa mijini tishio jipya homa ya dengue

Dar es Salaam. Magonjwa yanayoambukizwa na mbu katika maeneo mbalimbali, hasa ya maeneo ya mijini, yametajwa kuongezeka katika ukanda wa Afrika. Hali hiyo imewafanya wanasayansi kutoa wito wa dharura kwa watafiti kuja na majibu ya kutosha, ili kukabiliana na tishio hilo linalosababishwa na mabadiliko ya tabianchi. Magonjwa hayo ni dengue, Zika, chikungunya na homa ya…

Read More

Mtaalamu Bingwa wa Nyonga na Magoti Atua Dar

· Ashirikiana na wataalamu wazawa upasuaji Mloganzila Na Mwandishi Wetu MTAALAMU bingwa wa ubadilishaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali kubwa nchini India ya Yashoda, Dk. Ram Mohan Reddy amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu hayo kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye kambi…

Read More

Sadala matumaini kibao Biashara Utd

NYOTA mpya wa Biashara United ya Mara, Sadala Lipangile ambaye amesajiliwa akitokea KMC amepania kutumia uzoefu alionao kuwa sehemu ya historia ya chama hilo kurejea Ligi Kuu Bara. Msimu uliopita Biashara ilisaliwa na hatua moja tu kurejea Ligi Kuu lakini ilijikuta wakikwaa kisiki mbele ya Tabora United katika hatua ya mchujo baada ya kupoteza kwa…

Read More