
Sangara wapungua Ziwa Victoria, Serikali ikitangaza kudhibiti uvuvi haramu
Mwanza. Wakati uvunaji wa samaki aina ya sangara ukishuka kutoka tani 91,709 mwaka 2019 mpaka tani 80,265 mwaka 2023, sababu ya upungufu huo imetajwa kuwa ni uvuvi haramu. Kutokana na hali hiyo, tayari Serikali imeweka mikakati kadhaa, ikiwemo kununua boti 10 za doria, kuweka mfumo maalumu wa ufuatiliaji vyombo vya uvuvi (tracking system), ununuzi wa…