Hospitali ya Kyiv inatatizika kuhudumia wagonjwa huku kukiwa na mgomo wa anga – Masuala ya Ulimwenguni

“Kengele ilipolia, sote tulikimbizwa kwenye makazi,” alisema. “Hata watoto wadogo kutoka katika chumba cha wagonjwa mahututi waliangushwa na wauguzi na wasaidizi, ambao waliwabeba kwa upole kwa sababu ni dhaifu sana kwa mama kuwahamisha peke yao.” Kama wimbi kubwa la Mashambulizi ya anga ya Urusi yaikumba Ukraineikilenga miundombinu muhimu na kusababisha uharibifu mkubwa na majeruhi, wafanyakazi…

Read More

Takukuru yaibuka na mpya chaguzi zilizopita

Mwanza. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini kwa kuchambua mfumo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020, umebaini kuwepo vitendo vya rushwa katika uchaguzi huo. Kauli hiyo imetolewa jana Agosti 30, 2024, Mkuu wa Dawati la Uzuiaji Rushwa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na…

Read More

Youssouph Dabo apewa “THANK YOU”

Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo. Muda wowote kuanzia sasa taarifa rasmi itatoka na kinachosubiriwa ni  kumalizika kwa taratibu za kimikataba ili kila upande upate kinachostahili. Dabo ataondoka na wasaidizi wake watano ambao ni kocha msaidizi…

Read More

TBS YATOA ELIMU YA KUDHIBITI SUMUKUVU URAMBO

Na Mwandishi Wetu, Urambo WANANCHI katika Halmashauri ya Wilaya Urambo mkoani Tabora wamepatiwa mafunzo kuhusiana na namna wanavyoweza kuepukana na sumukuvu kwenye mazao ya mahindi na karanga. Elimu hiyo imetolewa mapema wiki hii wilayani hapa na maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na wale wa Halmashauri ya Wilaya Urambo. Akizungumza na waandishi…

Read More

Naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa mshikamano wa kimataifa wakati machafuko yanapoendelea Afrika Mashariki – Masuala ya Ulimwenguni

Chad inawahifadhi zaidi ya wakimbizi milioni 1.1, wengi wao wakitoroka ghasia nchini Sudan, ambako wanamgambo hasimu wamekuwa wakipigana tangu Aprili 2023. Wakati huo huo, vita hivyo pia vimesababisha mateso makubwa ndani ya mipaka ya Sudan. “Kazi ya kibinadamu ambayo tunayo nchini Sudan imekuwa kubwa sana,” Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina Mohammedalisema. “Imekuwa…

Read More

KAMPUNI YA SUKARI KILOMBERO YABORESHA ELIMU YA WASICHANA KWA KUCHANGIA TAULO ZA KIKE WILAYANI KILOMBERO

Katika jitihada kubwa za kuboresha elimu ya wasichana na kuongeza uelewa kuhusu hedhi salama, Kampuni ya Sukari Kilombero imetoa zaidi ya taulo za kike 2,400 kwa wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Cane Growers iliyopo wilayani Kilombero. Jitihada hii inaonyesha ahadi ya Kampuni hiyo katika kukabiliana na tatizo la hedhi salama na kusaidia jamii…

Read More

Fadlu: Leonel Ateba gari limewaka

KAMA ulikuwa unajiuliza maswali kuhusu kutokuonekana uwanjani kwa mshambuliaji mpya wa Simba Leonel Ateba basi majibu yamepatikana,baada ya kocha wake Fadlu Davids kusisitiza kuwa alikuwa jikoni sasa ameiva. Mcameroon (25) huyo mwenye uwezo wa kucheza kama winga wa kushoto na kulia na mwenye sifa ya kuwa mchezaji wa kipekee mwenye uwezo wa kushambulia kutoka pande…

Read More