
Askofu Shoo kubadili Katiba, kubaki madarakani?
DK. Frederick Shoo, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini yenye makao yake mjini Moshi, “huenda akabadili Katiba,” ili kuendelea kubaki madarakani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa kutoka Moshi na Arusha zinasema, kuna uwezekano mkubwa wa Askofu Dk. Shoo, mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini, “akabadili Katiba,” ili kuendelea kuhudumu…