
WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA TUME NA WADAU
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Agosti 26 hadi 27, 2024 Mkoani Mkoani Mara.Mwenyekiti Wa Tume…