Mtazamo hasi chanzo wanafunzi kukimbia hisabati

Moshi. Wakati wanafunzi wengi hususani wa kike wakitajwa kulikimbia somo la hisabati kwa madai kuwa ni gumu, mtazamo hasi juu ya somo hilo ndani ya jamii, umetajwa kuwa moja ya sababu za wanafunzi kuliogopa somo hilo. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Agosti 26, 25024 na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Eden Garden, Samuel Solomon wakati…

Read More

Hospital wilaya ya bumbuli kuanza kutoa huduma septemba Mosi

 Na Raisa Said, Bumbuli Shughuli za tiba katika Hospitali mpya ya Halmashauri ya  wilaya ya Bumbuli, mkoani Tanga zinatarajia kuzinduliwa Septemba mosi, mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Baraka Zikatimu  amaesema hapa. Akijibu swali lililoulizwa na mmojawapo wa wajumbe wa Baraza  la Madiwani la Halmashauri hiyo wakati wa kikao cha robo ya nne, Zikatimu…

Read More

Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yamalizika bila mafanikio – DW – 26.08.2024

Afisa huyo wa Marekani aliyezungumza kwa sharti la kutotambulishwa, amesema mazungumzo hayo yataendelea lakini katika ngazi ya chini siku zijazo katika juhudi za kuziba mapengo yaliyosalia. Soma pia:Ujumbe wa Israel wawasili Cairo kwa majadiliano kuhusu Gaza Afisa huyo amesema makundi ya ngazi za chini yatasalia mjini Cairo kukutana na wapatanishi wa Marekani, Qatar, na Misri…

Read More

JIWE LA SIKU: Kwa hili la Mzize Yanga itulize akili

KATIKA kile kinachoendelea kati ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kuhusishwa ama kutakiwa na klabu mbalimbali Afrika na Ulaya, viongozi wa timu hiyo ya wananchi hao wanapaswa kuwa makini juu ya jambo hilo. Mzize kwa siku za hivi karibuni amekuwa akihitajika na klabu za Wydad AC ya Morocco na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambazo…

Read More

DCP Nyambabe akabidhi bendera kwa askari wa kike wanaokwenda kushiriki mafunzo ya dunia nchini Marekani

Naibu kamishna wa Polisi Kutoka kitengo cha udhibiti Makosa yanayovuka Mipaka DCP Daniel Nyambabe amewakabidhi askari wa kike Bendera ya Taifa kwa ajili ya Kwenda nchini Marekani kushiriki mafunzo kwa askari wa kike Duniani katika jimbo la Chicago Nchini humo kuanzia Septemba 01 hadi 05, Mwaka huu. DCP Nyambabe akikabidhi bendera hiyo leo Agosti 26,2024…

Read More