
Fadlu: Simba hii bado kidogo tu
SIMBA imeendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu na alama sita baada ya juzi kuishushia kichapo cha mabao 4-0 Fountain Gate huku mastaa wapya kikosini hapo akiwemo Charles Ahoua wakionyesha kiwango bora lakini kocha mkuu wa Wanamaimbazi hao, Msauzi Fadlu Davies amesema bado hajapata kile anachokitaka kwa asilimia mia. Akizungumza na Mwanaspoti, Fadlu amesema…