
“SIKU YA UTULIVU” TANZANIA YAZINDULIWA RASMI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mke wa Aliyekuwa RAIS wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa ameshiriki hafla rasmi ya Uzinduzi wa “SIKU YA UTULIVU” Tanzania iliyofanyika Upanga, jijini Dar es Salaam Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Siku hiyo mchungaji Charles Mwantepele ambaye ndiye Mwanzilishi wa SIKU hiyo amesema ….”Wengi wetu tumekuwa tukiishi na kupitia changamoto nyingi…