
Serikali kushusha kocha timu ya taifa ya Golf kwa wanawake
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali imepanga kuleta kocha wa kigeni kwa ajili ya kuifundisha timu ya Taifa ya Gofu ya wanawake. Mhe. Ndumbaro amesema hayo Agosti 24, 2024 Jijini Dar Es Salaam wakati alkifunga Mashindano ya Kimataifa ya NCBA Golf Series ambapo amebainisha kuwa kocha huyo atagharamiwa…