Kutana na mkunga aliyesalia – Global Issues

Askari wa kigeni walipoondoka ghafla, maisha ya mamilioni ya Waafghanistan, hasa wanawake na wasichana yaliingia kwenye machafuko. “Kama ningeondoka, mama au mtoto angefariki,” Bi. Ahmadi alisema. “Nilikuwa na wasiwasi, lakini sikuweza kuondoka kwa sababu watu walihitaji huduma zetu. Nilikaa kwa sababu watu hasa wajawazito walihitaji msaada wangu.” Kliniki zimefungwa Wahudumu wa afya ya umma waliathirika…

Read More

Mohamed Badru huyooo Songea United

SONGEA United imethibitisha kunasa saini ya Mohamed Badru kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo atakayeiongoza msimu ujao wa Championship kuisaka tiketi ya Ligi Kuu, 2025/26. Timu hiyo ambayo awali ilijulikana kama FGA Talents, kwa sasa makazi yake ni mjini Songea na msimu ujao itacheza Championship ikitumia uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma. Badru aliyewahi kutamba na…

Read More

Mgomo Soko Kuu Mafinga waingia siku ya tatu

Mufindi. Wananchi wa Halmashauri ya Mji Mafinga pamoja na maeneo ya jirani katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wameendelea kusota kwa kukosa huduma kwa siku tatu mfululizo katika Soko Kuu la mji Mafinga, baada ya wafanyabiashara wa soko hilo kufunga maduka yao. Mgomo huo umeingia siku ya tatu na kusababisha adha kubwa kwa wananchi kukosa…

Read More

Tuzo yampa jeuri  Mpole | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole amefunguka kwa mara ya kwanza tangu arejee Ligi Kuu Bara akijiunga na timu hiyo ya Mwanza, akisema tuzo ya Nyota wa Mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ni mwanzo wa kazi kubwa aliyojipanga kuifanya msimu huu, licha ya kukataa kujitabiria ufungaji Bora. Mpole aliyekosa mechi ya kwanza ya msimu huu…

Read More

JWTZ kutoa matibabu bure kwa siku tano

Dar es Salaam. Katika kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake, Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), litatoa huduma za upimaji na matibabu ya afya bila malipo kwa siku tano kuanzia kesho Agosti 26, mwaka huu. Huduma hizo kwa mujibu wa jeshi hilo, zitatolewa bure hadi Agosti 30, mwaka huu na Septemba Mosi, zitatolewa huduma za matibabu…

Read More

Wagosi yang’olewa CAF, yakosa penalti

COASTAL Union ya Tanga imerudia kile kile ilichowahi kukifanya mwaka 1989 ilipong’olewa raundi za awali za michuano ya CAF, baada ya jioni ya leo kutoka suluhu na AS Bravo ya Angola na kutolewa kwa jumla ya mabao 3-0. Coastal ilipoteza mechi ya kwanza ugenini kwa mabao 3-0 na leo ilikuwa ikihitaji ushindi wa zaidi ya…

Read More

Lissu afunguka Rais Samia kumpa simba jina lake

Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja sababu za kutaka simba aitwe jina la Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema aliamua hiyo kutokana na umachachari na ukorofi wa mwanasiasa huyo. Rais Samia ametoa kauli  hiyo Agosti 25, 2024 wakati akifunga Tamasha la Kizimkazi katika viwanja vya Mwehe, Makunduchi, Mkoa wa…

Read More

SIO ZENGWE: Azam FC itafute sababu za kuboronga Afrika

WAKATI mashabiki wa Yanga wakimaliza mapumziko ya mwishoni mwa wiki kwa furaha, wale wa Azam na hasa wadau watakuwa wanakuna kichwa kwa huzuni baada ya timu hiyo, iliyokusanya wachezaji nyota kutoka pembe kadhaa za Afrika na barani Amerika Kusini, kushindwa tena kufurukuta michuano ya Afrika. Azam, klabu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa nchini na…

Read More