
Dora wa Jua Kali yeye na Pacome tu!
MSANII nyota wa filamu nchini anayetamba kwenye tamthilia ya Jua Kali, Wanswekula Zacharia ‘Dora’ humwambii kitu kuhusiana na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua anayemkosha kutokana na aina yake ya uchezaji uwanjani. Dora akijibu swali aliloulizwa na Mwanaspoti wakati akiwa live katika mtandao wa TikTok juu ya mchezaji gani Tanzania anakubali uchezaji wake, ndipo alipomtaja…