
Mtanzania anayeishi Afrika Kusini adai shangingi la wahamiaji haramu ni lake
Moshi. Mtanzania anayeishi Afrika Kusini, Jackson Ngalya amejitokeza mahakamani na kueleza kuwa gari aina ya Toyota Landcruiser V8 lenye nambaT888 BTY lililotaifishwa baada ya kukamatwa na wahamiaji haramu mkoani Kilimanjaro ni mali yake. Kesi hiyo ilitajwa Ijumaa Agosti 23, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Opotuna Kipeta na kuahirishwa hadi…