
Yanga imefuzu, ila ina kibarua
YANGA imetinga kibabe hatua ya kwanza ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuwang’oa Vital’O ya Burundi kwa jumla ya mabao 10-0. Matokeo hayo yanaifanya Yanga kwenda kukutana na CBE ya Ethiopia ambayo nayo imewatupa nje ya mashindano SC Villa ya Uganda kwa jumla ya mabao 3-2. CBE ilishinda ugenini kwa mabao 2-1…