
TODD: Ule usajili Chelsea, pesa zinatoka huku
LONDON, ENGLAND: CHELSEA inazidi kushusha watu. Usajili kwao wameufanya jambo jepesi sana. Hawamuachi mchezaji wanaomtaka na hadi sasa inafikia idadi ya wachezaji 40 kwenye kikosi hicho. Wapo 18 waliosajiliwa hadi sasa, huku tisa ikiwa ni kwa kulipa ada na tisa wengine wakiwa ni usajili huru. Bosi wa miamba hiyo wa Jiji la London, Toddy Boehly…