Simba, Fountain Gate na mwanzo mpya

Dar es Salaam. Historia ya nyuma itazikwa rasmi na leo Simba na Fountain Gate zitaanzisha rasmi ushindani mpya kwenye Ligi Kuu wakati zitakapokutana kwenye Uwanja wa KMC Complex,Mwenge, Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni. Mabadiliko ya jina na uendeshaji ambayo Fountain Gate imeyafanya msimu huu yanaipa fursa ya kufuta unyonge wa nyuma ambao ilikuwa…

Read More

Russia, Ukraine zabadilishana wafungwa wa vita 230

Russia. Russia na Ukraine zimefikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa wa vita 115 kila upande, katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE iliyotolewa Jumamosi Agosti 24, 2024, UAE imesaidia kufanikisha mabadilishano haya, ambayo ni matokeo ya mikutano saba ya majadiliano kati…

Read More

PELEKENI SALAMU FURSA YA SAMIA SKOLASHIPU- MKENDA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inatoa mkopo kwa asilimia miamoja kwa Wanafunzi wanaofaulu zaidi masomo ya Sayansi kidato cha sita na kusomea nyanja za Sayansi, Elimu Tiba, Uhandisi, Hisabati na TEHAMA Elimu ya Juu Mkenda amesema hayo Agosti 24, 2024 baada ya kuzindua Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Dimbani…

Read More

Unapochagua mchumba yazingatie yafuatayo | Mwananchi

Kuoa au kuolewa, kama wasemavyo siku hizi, si suala la kukurupuka au kununua tiketi ya bahati nasibu. Katika kuchagua mwenza wako unapaswa uwe makini, usikurupuke kuamua kuingia kwenye uhusiano, mara zote huwa na mwanzo lakini hauna mwisho, labda mtenganishwe na kifo kwa wale waumini wa dini ya Kikristo. Hivyo, ni muhimu kumjua mwenzako kwa udhaifu…

Read More