Singida BS yaichapa Kagera | Mwanaspoti

SINGIDA Black Stars, wameendeleza ubabe wao katika Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao, Kagera Sugar. Mchezo huo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera, Singida Black Stars ilipata bao hilo pekee kupitia beki wake wa kati, Anthony Tra Bi Tra dakika ya 90+2. Mashambulizi ya…

Read More

Ni balaaa..kila mtu ni mshindi.!

Meneja Biashara na Masoko kutoka Vodacom Tanzania Bw. Caleb Majo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni 1 mshindi wa droo ya nne ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi kutoka Vodacom Bi. Zulfa Said kutoka Goba (kulia) katika Duka la Vodacom Mlimani City mwishoni mwa wiki iliyopita. Ili kupata nafasi ya…

Read More

Yanga yafanya maangamizi kwa Vital’O

TIMU ya Yanga imetinga hatua ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 6-0, dhidi ya Vital’O ya Burundi katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam. Yanga imepata bao la mapema tu dakika ya 13 kupitia kwa nyota wa…

Read More

Mradi wa taka kuwa mali waanzishwa Morogoro

Morogoro. Shirika la Maendeleo ya Jamii la DDSCDD na shirika lisilo la kiserikali la Norwegian Church Aid (NCA) kwa kushirikiana na Manispaa ya Morogoro wameanzishwa mradi wa kuzibadili taka kuwa bidhaa za thamani. Mradi huo unaohusisha makumi ya vijana wa Manispaa ya Morogoro ulizinduliwa Alhamisi Agosti 22, 2024 kwa vijana kukabidhiwa kiwanda kidogo cha kuchakata taka…

Read More

Ukaguzi kuboresha miundombinu Ngorongoro kuanza Agosti 27 

Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, imesema inatarajia kuanza kukagua, kubainisha vituo vya kupigia kura na kufanya maandalizi mengine kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama Kuu kuzuia tamko la Serikali la kufuta kata, vijiji na vitongoji vikiwamo vya wilayani Ngorongoro na…

Read More

Kamati kuundwa kusaka fedha ufadhili wa masomo ya sayansi

Unguja. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema wapo kwenye mchakato wa kuunda kamati maalumu ya kutafuta fedha kuongeza ufadhili wa wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi, uhandisi na elimu tiba nje ya nchi. Profesa Mkenda ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Agosti 24, 2024 alipozindua bweni la wasichana, madarasa na maabara ya Sekondari…

Read More

Lema: Kwenye uchaguzi huu, sitakimbia tena nchi

Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema kuwa hatakimbia tena nchi kwenye uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Lema aliyewahi kuwa mbunge wa Arusha Mjini alikimbilia nchini Canada mwaka 2020 baada ya uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais kwa kile alichodai kuhofia maisha yake kabla…

Read More