
Nchemba aiangukia Yanga kwa Kagoma
Mdau wa michezo nchini aliye pia Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amefunguka kwa mara ya kwanza sakata la kiungo Yusuf Kagoma, anayedaiwa kusaini Yanga na baadae kujiunga na Simba. Mwigulu ametumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kulifafanua sakata la kiungo huyo akiandika: Sakata la Kagoma bado lipo TFF. Nafahamu undani wa suala la Yusuf…