
Watumiaji wa mitandao wanavyokoswa koswa kutapeliwa
Dar es Salaam. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii ya X, Facebook na Instagram wamesimulia namna wanavyopitia kadhia ya majaribio ya kutapeliwa na watu wasiojulikana. Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti wamesema kupitia mitandao hiyo kuna wimbi la watu wanaowashawishi kuingia katika biashara mtandao ya pesa zijulikanazo kama Cryptocurrency pamoja na utapeli mwingine. Jamal…