MTU WA MPIRA: Si lazima Yanga imuuze Mzize

NIMEONA maneno mengi mitandaoni kuhusu sakata la mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize. Nimeona mijadala mingi kwenye vyombo vya habari pia. Kuna maoni mengi kuhusu Yanga kukataa ofa tatu tofauti kuhusu Mzize. Inasemekana Wydad Casablanca, Kaizer Chiefs na timu nyingine moja kutoka Ulaya zimetuma ofa Yanga. Maoni mengi ni kutaka Yanga imuuze Mzize kwa sasa. Kwanini?…

Read More

Serikali kujenga kituo cha uwekezaji Njombe

Njombe. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeahidi kujenga kituo kidogo cha uwekezaji mkoani hapa ili kuwapunguzia safari wawekezaji na wafanyabiashara ya kufuata huduma hiyo ofisi za kanda zilizopo mkoani Mbeya. Ahadi hiyo imetolewa leo Jumamosi Agosti 24, 2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Gilead Teri wakati akizungumza na waandishi wa habari…

Read More

MUHIMBILI KUTOA HUDUMA ZA KIBOBEZI NCHINI KONGO

  Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Tanzania, Mhe. Jean Pierre Massala amekutana na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kufanya mazungumzo yenye lengo la kuboresha huduma za afya nchini humo.  Mazungumzo hayo yameangazia ushirikiano katika matibabu ya magonjwa ya damu, upasuaji wa watoto wenye jinsia tofauti, utafiti wa kisayansi na…

Read More

RAIS WA SITA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA TRA WANAOTOA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA TAMASHA LA KIZIMKAZI

  Mhe. Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongea na wafanyakazi wa TRA wanaotoa huduma katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi .leo Jumamosi ya terehe 24.08.2024 Baadhi ya wafanyakazi wa TRA wanaotoa huduma katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi .leo Jumamosi ya terehe 24.08.2024.

Read More

Walinzi 50 wauawa Geita kwa nyakati tofauti

Geita. Walinzi 50 waliokuwa wakilinda maeneo mbalimbali mkoani Geita wamevamiwa na kuuawa wakiwa malindoni kati ya mwaka 2017-2024 hali iliyosababisha vijana wengi kuikimbia kazi ya ulinzi. Hayo yamesemwa na Katibu wa Kampuni Binafsi za Ulinzi Geita, Meshack Kasega, wakati akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Hashim Komba kwenye uzinduzi wa Ofisi ya Kanda…

Read More

Wajasiriamali walia mikopo umiza inasababisha afya ya akili

Mwanza. Baadhi ya wajasiriamali jijini Mwanza wamesimulia namna mikopo umiza inavyowasababishia kupata tatizo la afya ya akili. Wamesema hayo kwa nyakati tofauti jana Ijumaa Agosti 23, 2024 wakati wa semina ya elimu ya fedha, utunzaji wa kumbukumbu za biashara na afya ya akili kwa wajasiriamali yaliyoandaliwa na Shirika la Patrice Global Mission (PGM) kwa kushirikiana…

Read More

Mpango wa kuwahamisha wafugaji Ngorongoro umeshindwa mapema

  MAELFU ya wafugaji kutoka jamii ya Wamaasai kutoka vijiji 25, vilivyosajiliwa kisheria, ndani ya tarafa ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameandamana wiki hii, kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu. Anaandika Navaya ole Ndaskoi…(endelea). Wazee, vijana, wanawake – baadhi yao wakibeba vichanga migongoni mwao – walidamka mapema tarehe 18 Agosti 2024, wakiwa na mabango yenye jumbe…

Read More

Tamko la Polisi kwa anayetajwa kuwa ‘afande’

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema uchunguzi wa kina umefanyika na jalada limepelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DDP) kuhusu Fatuma Kigondo anayetajwa kuwa ni afande na kudaiwa kuwatuma vijana waliombaka kwa kundi na kumlawiti binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. “Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa juu ya Ofisa wa Polisi…

Read More