
Aussems, Nkata ngoma nzito Kaitaba
KATIKA soka, rekodi zinaweza kuamua matokeo ya mechi, lakini uwezo binafsi nao huwezi kuuweka kando na hili ndilo linalosubiriwa kushuhudiwa leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba wakatui Singida Black Stars na Kagera Sugar zitakapowaingiza vitani makocha wa timu hizo. Wenyeji Kagera Sugara wanacheza mechi hiyo ya kwanza msimu huu ikiwa chini ya kocha mpya,…