
ALMASI YA PILI KUBWA ZAIDI DUNIANI YAPATIKANA KAROWE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Almasi yenye uzito wa karati 2,492, ya pili kwa ukubwa kuwahi kupatikana duniani, imegunduliwa katika mgodi wa Karowe nchini Botswana. Almasi hii adhimu imepatikana kwenye mgodi unaomilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Canada, Lucara Diamond, ikiwa ni ugunduzi mkubwa zaidi tangu almasi ya karati 3,106 ya Cullinan iliyopatikana Afrika Kusini mwaka 1905. Mgodi wa…