Wakulima Wadogo wa Uganda Wakabiliana na Kanuni za EU kuhusu Mashamba ya Kahawa – Masuala ya Ulimwenguni

Peter Kibeti akiwa na mmea wa kahawa wa Arabica shambani kwake Bududa. Wakulima wanapaswa kuzingatia kanuni za Umoja wa Ulaya kuhusu ukataji miti na ajira kwa watoto ikiwa wataendelea kufanya biashara na soko hili muhimu. Credit:Wambi Michael/IPS by Wambi Michael (kigali) Ijumaa, Agosti 23, 2024 Inter Press Service KIGALI, Agosti 23 (IPS) – Katika kijiji…

Read More

Samia aagiza huduma zirejeshwe Ngorongoro

Ngorongoro. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa huduma za kijamii, kuruhusu kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na kuondolewa vikwazo vyote vilivyowekwa kwa wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro, ambao kwa siku tano wamekusanyika maeneo tofauti wakidai kupatiwa haki hizo. Miongoni mwa madai ya wananchi hao ambao awali waliandamana ni kupinga kufutwa vitongoji 96, vijiji…

Read More

KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAIMWAGIA SIFA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YAENDAYO HARAKA NA MADARAJA YA JUU

  Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Mwanaasha Khamis Juma akiongea na waandishi wa habari wakati wa ziara ya kamati hiyo ilipotembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) na madaraja ya juu.   Meneja wa Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), Mhandisi…

Read More

Wazazi, walezi chanzo watoto kujihusisha na ukatili

Dar es Salaam. Wazazi na walezi kutowajibika ipasavyo kwenye makuzi ya watoto kumetajwa kuwa miongoni mwa sababu za wao kukosa misingi mizuri ya ustawi na kusababisha kushamiri vitendo vya ukatili katika jamii. Mengine yametajwa kuwa ni kufanya matendo yasiyo na staha mbele ya watoto, ukali kupitiliza, kukosa elimu na kutotenga muda wa kuzungumza na watoto….

Read More

MASHINDANO YA RIADHA YAANZA KUTIMUA VUMBI FEASSSA 2024

Na Angela Msimbira UGANDA TIMU za riadha kwenye mashindano ya FEASSSA 2024 yanayofanyika Mji wa Mbale, nchini Uganda zimeanza kupamba moto huku Tanzania ikianza vyema kwa kupata medali tatu za Dhahabu, saba za Fedha na 23 za Shaba. Agosti 23, 2024, katika mbio za mita 100 upande wa wavulana Baraka Senjigwa ameibuka kidedea kwa kushika…

Read More

Sarafu moja EAC yaahirishwa hadi mwaka 2031

Arusha. Sasa wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) watatakiwa kusubiri kutumia sarafu moja, baada ya Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Veronika Nduva kusema mchakato wake umesogezwa hadi mwaka 2031. Nchi wanachama wa EAC zilitia saini itifaki ya kuanzisha Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAMU) Novemba 2013. EAMU iliweka msingi wa…

Read More

Milioni 105 zaondoa adha ya maji Bisarara

Na Malima Lubasha, Serengeti Kijiji cha Bisarara kilichopo Kata ya Sedeco, Tarafa ya Rogoro wilayani Serengeti, mkoani Mara, kimeondokana na shida ya maji baada ya kupatiwa kiasi cha fedha Sh 105 milioni zilizosaidia kufikishiwa maji safi kijijini hapo. Mwenyekiti wa Kijiji cha Bisarara, Thomas Marwa amesema hayo leo Agosti 23,2024 alipozungumza na Mtanzania Digital kuhusu…

Read More