
Mapya yaibuka kesi ya ‘waliotumwa na afande’
Dodoma. Kesi ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam imeahirishwa hadi Agosti 28, 2024 kupisha shauri la maombi ya marejeo lililofunguliwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma. Maombi ya marejeo namba 23476/2024 yamefunguliwa leo, Ijumaa Agosti 23, 2024 na Leonard Mashabara na yametajwa faragha mbele ya…