LHRC walaani mauaji na ukatili wa polisi Simiyu

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani matukio ya ukatili na mauaji yaliyotekelezwa na Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu na kusisitiza kuwa huo ni ukiukwaji haki ya kuishi iliyowekwa katika Ibara ya 14 ya Katiba na haki ya uhuru iliyowekwa katika Ibara ya 15 ya Katiba hiyo. Anaripoti…

Read More

JESHI LA POLISI TANZANIA KUZINDUA KAMPENI YA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuanzisha kampeni mpya ya kitaifa inayolenga kuzuia ukatili wa kijinsia na unyanyasaji dhidi ya watoto. Taarifa iliyotolewa kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii imesema kuwa kampeni hiyo, itakayobebwa na kauli mbiu “TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA,” inalenga kutoa elimu kwa watoto kuhusu masuala ya unyanyasaji na kuwajengea uelewa wa kujitambua. Kampeni…

Read More

Hamas yaikosoa Israel kuhusu uwepo wake wa kijeshi mpakani – DW – 23.08.2024

Timu ya Israel ilikuwa mjini Cairo “kujadili kuendeleza makubaliano (ya kuachiliwa) mateka,” msemaji wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu Omer Dostri aliambia AFP siku ya Alhamisi. Lakini wawakilishi wa Hamas hawakushiriki na afisa kutoka vuguvugu hilo la Kiislamu, Hossam Badran, aliiambia AFP siku ya Ijumaa kwamba msisitizo wa Netanyahu kwamba wanajeshi wabaki kwenye ukanda wa mpaka…

Read More

Rais Samia amesikiliza kilio cha wakazi wa Ngorongoro.

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais…

Read More

Wizara kuanzisha kitengo maalumu usimamizi wa nishati safi

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amesema wizara hiyo itaendelea kutoa kipaumbele ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini kwa namna mbalimbali ikiwemo kuanzisha kitengo maalum cha usimamizi wa nishati hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Amesema hatua hiyo inalenga kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni kinara…

Read More

Seseme ajishtukia Tabora United | Mwanaspoti

KIUNGO wa zamani wa Kagera Sugar, Abdallah Seseme anayekipiga kwa sasa Tabora United, amejishtukia na kusema anapaswa kukaza buti kama mchezaji, lakini hata timu hiyo inapaswa kukomaa kwa vile anauona msimu huu kuwa ni mgumu zaidi kuanzia klabuni hapo katika Ligi Kuu Bara. Nyota huyo alioyewahi kuwika Simba, amejiunga na Tabora akitokea Kagera ambako hakufunga…

Read More