
Mashambulizi yaendelea kuitikisa Gaza – DW – 23.08.2024
Milio ya silaha nzito na bunduki imesikika mapema Ijumaa karibu na mashariki mwa mji wa Deir al-Balah. Kulingana na msemaji wa ulinzi na haki za jamii wa Palestina, Mahmoud Bassal, watu wanne wameuwawa kusini mwa Khan Younis. Bassal aliripoti pia Alhamisi jioni kuwa watu 24 waliuwawa siku moja kabla kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na jeshi…