Pesa yako ipo hapa na Meridianbet

  Ikiwa hii ni wiki ya pili ya kurejea kwa ligi mbalimbali Duniani, Ijumaa ya leo kuna mechi kibao za kukupatia pesa kuaniza kule Ufaransa, Hispania na zingine kibao. Ingia Meridinabet na uanze kusuka jamvi lako sasa. Tukianza kumulika ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 leo hii bingwa mtetezi PSG baada ya kushinda mchezo uliopita…

Read More

Mapya yaibuka kesi ya mauaji ya Asimwe

Bukoba. Baadhi ya washtakiwa katika kesi ya mauaji ya mtoto Asimwe wamedai hawajui kosa linalowakabili mahakamani licha ya kusota rumande kwa siku 57. Washtakiwa tisa walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba kwa mara ya kwanza Juni 28, 2024 na kusomewa shtaka moja katika kesi namba 17740/2024, wakidaiwa kumuua kwa kukusudia mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath…

Read More

Cheza Expanse kasino na utajirike

  Expanse Kasino ni sehemu nzuri sana ya kutajirisha watu wengi, haswa kwa wale wanaocheza kasino ya mtandaoni wanajiweka kwenye nafasi ya karibu Zaidi na utajiri. Zaidi kabisa ujisajili na Meridianbet kuanza safari yako. Katika Promosheni ya shindano la Epxanse Kasino, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya…

Read More

Serikali yachukua hatua kupunguza mrundikano wa kesi

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema Serikali imeendelea kufanya maboresho ya sera katika kuchochea uanzishwaji wa taasisi mbalimbali za usuluhishi wa migogoro katika sekta mbalimbali ili kupunguza mrundikano wa kesi mahakamani. Amesema jitihada hizo zinafanyika kwa kutambua migogoro ikimalizwa nje ya mahakama inachukua muda mfupi na inaondoa vinyongo na…

Read More