
Aenda jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa miaka 13
Mufindi. Frank Kahise, mkazi wa Mtaa wa Mkombwe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Iringa, kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 13. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mfawidhi Benedict Nkomola Agosti 21, 2024, baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka kuwa alitenda kosa hilo Juni…