
Simba, Fountain kama kawa Bara
KAMA ulikuwa una presha ya kwenda kwenye Uwanja wa KMC Complex, kucheki gemu ya Simba na Fountain Gate baada ya awali kuwepo kwa hatihati ya kupigwa, we jipange tu, kwani mchezo huo utapigwa kama kawaida keshokutwa Jumapili. Awali kulikuwa na presha kwamba huenda mchezo huo usingechezwa kama iklivyotokea ule wa Namungo dhidi ya Fountain Gate…