Mahakama yatoa samansi ‘afande’ afike mahakamani

Dodoma. Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imetoa wito wa kufika mahakamani (samansi) kwa Fatma Kigondo anayelalamikiwa kwa kosa la kubaka kwa kundi. Mahakama imetoa samansi hiyo baada ya ile ya awali iliyomtaka kuhudhuria mahakamani leo Agosti 23, 2024 kutotekelezwa. Shauri hilo la malalamiko namba 23627 limefunguliwa na Paulo Kisabo na lipo mbele ya Hakimu Mkazi…

Read More

ENG. KASEKENYA AAGIZA KASI YA UJENZI WA BARABARA ARUSHA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, ameagiza mkandarasi STECOL COMPANY kuongeza kasi katika ujenzi wa barabara ya Mianzini-Sambasha, inayounganisha barabara ya Mianzini-Ngaramtoni juu-Olemringaringa Sambasha, yenye urefu wa kilometa 18 katikati ya jiji la Arusha. Eng. Kasekenya alisisitiza kwamba kukamilika kwa barabara hizi kutasaidia kuboresha huduma ya usafiri na kuendeleza mvuto wa jiji maarufu kwa…

Read More

VIDEO: Mambo sita yanayoathiri ubora wa mbegu za kiume

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wametaja mambo sita ambayo mwanamume anapaswa kuwa makini nayo, ili kutoathiri ubora wa mbegu zake za kiume. Ili binadamu akamilike, mwanamume anatakiwa kutoa chembeuzi ‘chromosome’ 23 na mwanamke chembeuzi 23 na kukamilisha Asidi Kiinideoksiribo ‘DNA’ 46. DNA hizi hubeba vinasaba au jeni, yaani sehemu ambazo zinaamua tabia za kiumbe…

Read More

NAIBU WAZIRI WA AFYA AAGIZA KUONGEZEWA KWA RASILIMALI KATIKA MPAKA WA TUNDUMA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa agizo kwa uongozi wa mkoa wa Songwe kuongeza nguvu katika rasilimali watu na vifaa kwa ajili ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ya mlipuko, ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa Mpox. Katika ziara yake ya kikazi kwenye forodha ya mpaka wa Tunduma mnamo Agosti 22, 2024, Dkt. Mollel…

Read More

Hukumu kesi ya Milembe yaahirishwa tena

Geita.  Mahakama Kuu Kanda ya Geita, imeshindwa kutoa hukumu ya mauaji inayomkabili Dayfath Maunga (54) na wenzake watatu baada ya Jaji Mfawidhi Kelvi Mhina wa Mahakama hiyo anayesikiliza kesi hiyo, kuwa na udhuru. Mbali na Maunga,  washitakiwa wengine katika kesi hiyo ya mauaji namba 39 ya mwaka 2023 ni pamoja na Safari Labingo (54), Genja…

Read More