
VIDEO: Wafanyabiashara Soko la Chief Kingalu wagoma, wamtaka DC atengue kauli
Morogoro. Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko kuu la Chief Kingalu katika Manispaa ya Morogoro leo Agosti 23, 2024 wamegoma kufungua biashara zao na kufunga barabara inayoingia sokoni hapo, wakipinga wafanyabiashara wadogo kuruhusiwa kufanya biashara nje ya soko hilo. Wafanyabiashara hao wamedai kuwa agizo la wafanyabiashara hao kufanya biashara nje ya soko hilo lilitolewa na Mkuu…