
Joao Felix mmoja tu, Chelsea kibao!
LONDON, ENGLAND: NDO hivyo. Uwezo wa kucheza nafasi nyingi tofauti uwanjani unamfanya Joao Felix kumpa machaguo ya kutosha kocha wa Chelsea katika namna ya kupanga kikosi chake msimu huu. Chelsea imekamilisha usajili wa staa huyo wa Ureno kwa ada ya Pauni 42.6 milioni kutoka Atletico Madrid. Fowadi huyo alitumikia miezi sita kwa mkopo Stamford Bridge…