
Kesi ya ‘waliotumwa na afande’ kuendelea leo siku ya tano
Dodoma. Washtakiwa kesi ya ubakaji na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam, wamefikishwa mahakamani kuendelea na usikilizwaji wa shauri hilo. Leo Agosti 23, 2024 ni siku ya tano tangu walipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ambako walisomewa mashtaka mawili. Hakimu Mkazi Mkuu, Zabibu Mpangule anayesikiliza kesi hiyo alipanga…