
PIRAMIDI YA AFYA: Dondoo za matumizi ya mipira ya kiume
Matumizi ya mipira ya kiume ni moja ya njia za kuzuia maambukizi yanayoenea kwa njia ya kujamiiana, ikiwamo virusi vya Ukimwi (VVU), kaswende, kisonono, virusi vya homa ya ini, hepes na papilloma vinavyosababisha saratani ya shingo ya kizazi. Vilevile hutumiwa kama njia ya uzazi wa mpango na tiba ya tatizo la kuwahi kufika mshindo. Watumiaji…