Zijue sababu za mtoto kuchelewa kuzungumza

Dar es Salaam. Moja kati ya mambo yanayompa furaha mzazi ni pamoja na kusikia sauti ya mtoto wake akitamka neno kwa mara ya kwanza. Mara nyingi watoto wengi wanapotaka kuzungumza huanza kutamka maneno kama baba, dada, mama, kaka, tata, mma na mengine ambayo wakati mwingine hawayatamki vizuri kwa sababu wanakuwa katika hatua za awali za…

Read More