Mahakama yazuia tangazo la Serikali kufuta vijiji Ngorongoro

Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imezuia tamko la Serikali namba  673 la Agosti 2, 2024 la kufuta kata, vijiji na vitongoji, vikiwamo vya wilayani Ngorongoro hadi amri ya Mahakama itakavyoelekeza vinginevyo. Uamuzi huo umetolewa leo Alhamisi Agosti 22, 2024 na Jaji Ayoub Mwenda, aliyesikiliza maombi madogo ya zuio hilo yaliyowasilishwa na mmoja wa wananchi…

Read More

Dk Mpango: Kilimo cha umwagiliaji kumaliza njaa

Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema uwekezaji unaofanywa na Serikali katika sekta ya umwagiliaji unaenda kuandika historia ya kumaliza tatizo la njaa nchini na kulijengea Taifa heshima kupitia uwepo wa chakula cha kutosha. Amesema anaridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya Kilimo, hivyo…

Read More

Rais TEC: Serikali irejee meza ya mazungumzo na wananchi Ngorongoro

Mbulu. Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ameiomba Serikali kurejea katika meza moja ya mazungumzo na wananchi wa Ngorongoro, akisema: “Iwasikilize, isiwalazimishe kuhama wala kuwakosesha huduma muhimu.” Askofu Pisa amesema uhalali wa uongozi uliopo madarakani katika utawala bora,  unatoka kwa wananchi na viongozi hao wanawajibika kwa wananchi. Ameyasema hayo leo Alhamisi…

Read More

Kumbe mtoto anasikia, kuhisi upendo au hasira akiwa tumboni

Dar es Salaam.  Mtoto ambaye hajazaliwa anaweza kusikia sauti, kuhisi upendo na hasira, hivyo wanasayansi wanashauri ni vyema mama kuwa katika hali nzuri katika kipindi cha ujauzito.Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, mimba inapofikisha umri wa miezi mitatu masikio ya mtoto huchomoza na mara hiyo huwa na uwezo wa kusikia.“Mtoto anasikia mazungumzo, ukiimba anakusikia naa…

Read More

Mbowe ataka tume ya kijaji ichunguze utekaji, THBUT nayo yajitosa

Dar/Dodoma. Wakati wadau wakilalamikia matukio ya utekaji na watu kupotea, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshauri iundwe tume ya Rais ya majaji itakayofanya uchunguzi wa kina utakaowezesha kuchukuliwa hatua za kisheria kwa wanaohusika. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mwenye mamlaka ya kuunda tume hiyo chini ya Sheria ya…

Read More

DED Ngorongoro: Taratibu za uchaguzi zinaendelea

Ngorongoro. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ngorongoro, Murtallah Mbillu amesema baada ya Mahakama kuzuia tamko la Serikali la kufuta kata, vijiji na vitongoji, vikiwamo vya wilayani Ngorongoro, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama kawaida. Mbillu amesema hayo leo Alhamisi, Agosti 22, 2024 wakati akizungumza na Mwananchi ikiwa ni saa chache kupita tangu, Mahakama Kuu Kanda ya…

Read More

Binti kesi ya ‘waliotumwa na afande’ atoa ushahidi

Dodoma. Binti anayedaiwa kubakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile, mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam aliyepewa jina la XY ametoa ushahidi mahakamani. Akiwa shahidi wa tatu wa upande wa Jamhuri ametoa ushahidi leo Agosti 22, 2024 mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi, Zabibu Mpangule katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Binti huyo (XY) aliingia katika…

Read More

NIONAVYO: Inafikirisha klabu kuhamia ugenini

WAPENDWA wasomaji wetu, hii ni makala ya 100 katika safu hii ya Nionavyo. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii, maana kwa zaidi ya majuma 100 ametuwezesha kuifanya kazi hii. Mrejesho na msukumo kutoka kwenu wasomaji ndio umewezesha kufanikiwa katika yote. Udhaifu wa safu hii unabaki kuwa wa kwangu binafsi. Ahsanteni sana! Wiki iliyopita tulishuhudia klabu…

Read More

Wakulima Rukwa wakataa ‘kukopwa’ | Mwananchi

Rukwa. Wakulima mkoani Rukwa wameitaka Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kuharakisha kuwalipa malipo yao pindi wanapokwenda kuuza mazao yao ili wajikwamue kiuchumi. Wakulima wametoa wito huo kufuatia malalamiko yao ya kutumia muda mrefu katika vituo vya ununuzi wakisubiri malipo yao bila mafanikio, jambo linalowakwamisha kufanya shughuli nyingine za kiuchumi. Mkulima…

Read More