Tawido yalia na Dar matukio ya ukatili

Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umedaiwa kurekodi matukio mengi ya ukatili wa kijinsia kutokana na kesi walizopokea Shirika la Tanzania Women Initiatives for Development Organization (Tawido). Takwimu hizo zimetolewa leo agosti 21 ,2024 na mkurugenzi wa shirika hilo, Sophia Lugilahe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, viongozi wa dini na taasisi mbalimbali za…

Read More

Simba vs Fountain Gate bado hatihati kuchezwa

KIKOSI cha Fountain Gate kimeanza safari ya kutoka Lindi kuja jijini Dar es Salaam kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili, huku ikiwa bado haijajua hatma kama mechi hiyo itachezwa au la. Timu hiyo ilishindwa kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Namungo, Agosti 17 kwenye Uwanja wa Majaliwa Ruangwa, Lindi kwa…

Read More

UWEKEZAJI UNAOFANYWA NA SERIKALI KATIKA SEKTA YA UMWAGILIAJI UNAENDA KUMALIZA NJAA NCHINI- DK.MPANGO

Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais Dkt.Philip Mpango amesema uwekezaji unaofanywa na Serikali katika sekta ya imwagiliaji unaenda kuandika historia ya kumaliza tatizo la njaa nchini na kulijengea Taifa heshima kupitia uwepo wa chakula cha kutosha. Amesema anaridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya kilimo hivyo wananchi…

Read More

Putin aishtumu Ukraine kujaribu kushambulia kinu cha nyuklia – DW – 22.08.2024

Urusi imesema kuwa tayari imeliarifu shirika la kimataifa la nishati ya nyuklia IAEA kuhusu hali hiyo na kwamba litatuma wataalamu wake katika kinu hicho kufanya tathmini. Kaimu gavana wa jimbo la Kursk Alexei Smirnov amemfahamisha Putin kwamba hali iko “imara” katika kinu hicho. Baadhi ya wakaazi wa Kursk waliohamishwa na mashambulizi ya Ukraine.Picha: Nick Connolly/DW…

Read More

JKCI yaendelea kuwa kivutio kwa mataifa ya Afrika

. Madaktari nane Congo kuja kujifunza kuanzia Jumatatu Na Mwandishi Wetu MADAKTARI nane kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanatarajiwa kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwaajili ya kujifunza namna taasisi hiyo ilivyopiga hatua katika tiba ya moyo na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali kwenye vifaa tiba na wataalamu bobezi. Mkurugenzi wa…

Read More