
Narendra Modi ahimiza amani kabla ya ziara ya Ukraine – DW – 22.08.2024
Kiongozi huyo amesema nchi yake inaunga mkono mazungumzo na njia ya diplomasia kurejesha amani na utulivu. Ameyasema hayo mjini Warsaw siku moja kabla ya kufanya ziara ya kihistoria nchini Ukraine iliyokumbwa na vita. “Migogoro inayoendelea nchini Ukraine na Asia Magharibi inatutia wasiwasi sana. India inaamini kwa dhati kwamba hakuna tatizo linaloweza kutatuliwa katika uwanja wa…