Usaidizi wa Marekani kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Lazima Ubaki bila Kuzuiliwa – Masuala ya Ulimwenguni

Usaidizi wa kifedha wa Marekani kwa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa ni muhimu sio tu kwa utimilifu wa masuala yao ya kibinadamu lakini pia kutumikia maslahi bora ya kitaifa ya Amerika. Usaidizi kama huo unaimarisha jukumu lake la uongozi wa kimataifa na ushawishi, na kuiwezesha kutembea kwenye misingi ya juu ya maadili. Credit: United…

Read More

Madiwani Simanjiro walia fidia ndogo inayotolewa na Tawa

Simanjiro. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamelalamikia fidia kidogo wanayopata kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (Tawa), wanapopata  majanga mbalimbali yanayosababishwa na wanyamapori. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Septemba 2, 2024 na madiwani hao katika kikao cha Baraza la Madiwani. Alikuwa ni Diwani wa Naisinyai, Taiko Kurian Laizer ambaye amesema baadhi…

Read More

Rais Samia ateua ma-DC wapya watatu, ahamisha 14

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewateua wakuu wa wilaya wapya watatu, huku wengine 14 akiwahamisha vituo vyao vya kazi. Uteuzi na uhamisho huo umefanyika leo Jumatatu Septemba 2, 2024. Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Septemba 2, 2024 na Kaimu Mkurugenzi  wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu ikinukuu taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mosses…

Read More

Ahadi ya Mabadiliko ya Dijiti – Masuala ya Ulimwenguni

Teknolojia ya dijiti imekuwa sehemu muhimu ya maisha na zana ya kujifunzia kwa watoto. Credit: Unsplash/Giu Vicente Maoni na Armida Salsiah Alisjahbana, Zhaslan Madiyev (bangkok, Thailand) Jumatatu, Septemba 02, 2024 Inter Press Service BANGKOK, Thailand, Sep 02 (IPS) – Mtazamo wa maendeleo umehamia 'digital by default' kama kawaida, kuunda upya jamii na uchumi. Kama kitovu…

Read More

Zimamoto wataja chanzo moto ulioteketeza bweni

Mbeya. Siku chache baada ya bweni la wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nsenga, jijini Mbeya kuteketea kwa moto, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema chanzo ni betri ya sola iliyokuwa ikiwaka na kusababisha ushike kwenye bweni lililoteketea. Agosti 26, 2024 wanafunzi wa kike 107 walinusurika kifo baada ya bweni lao kuteketea kwa moto. Akizungumza na…

Read More