Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa wafanyikazi wanaoshikiliwa na mamlaka ya ukweli – Masuala ya Ulimwenguni

Akitoa rufaa hiyo mjini Geneva kwa niaba yake, Msemaji Mkuu wa Ofisi yake OHCHRRavina Shamdasani, “bila shaka” alikataa “madai ya uwongo” ambayo mfanyakazi mmoja alionekana kukiri kwa kulazimishwa. “Haya ni madai yaliyotungwa kabisa,” aliwaambia waandishi wa habari, akiangazia “video ya mfanyakazi wetu ambayo iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii ambayo wazi kukiri kulazimishwa. Mwenzetu alionekana kufadhaika…

Read More

AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA YAFUNGULIWA

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Jumla ya waombaji laki moja elfu ishirini na nne mia mbili Themain na sita (124,286) wametuma maombi ya kujiunga katika vyuo vikuu themanini na sita (86) vilivyoidhinishwa kudahili wanafunzi katika shahada ya kwanza, na jumla ya programu 856 zimeruhusiwa kudahili ikilinganishwa na programu 809 mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la…

Read More

Serikali yaondoa kifungu kuwabana wafanyabiashara kubandika bei za bidhaa

Dodoma. Serikali imekubali hoja za wabunge na kukiondoa kifungu kinachotaka wafanyabiashara kuweka bei ya bidhaa zao ili mteja ajue badala ya kutamkiwa bei. Uamuzi huo umefikiwa baada ya wabunge wengi kuona kifungu hicho kitawaumiza wafanyabiashara wadogo, hasa wamachinga na mama na baba lishe na kushauri kiangaliwe upya. Awali, Serikali ilipendekeza marekebisho ya sheria ya ushindani…

Read More

Mbunge Mabula aomba radhi bungeni, afuta maneno yake

Dodoma. Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula amelazimika kuomba radhi bungeni na kufuta maneno yake kwamba wagonjwa wanaume, wanawake na watoto wanalazwa wote kwenye wodi moja. Mabula amelazimika kuomba radhi baada ya ushahidi wake aliowasilisha bungeni kuthibitisha maelezo yalitolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Dk…

Read More