Ukosefu wa Uwajibikaji kwa Uhalifu wa Kivita nchini Libya Huzusha Kukosekana kwa Uthabiti – Masuala ya Ulimwenguni

Baraza la Usalama lakutana katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kujadili hali ya uhasama inayozidi kuongezeka nchini Libya na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuunga Mkono nchini Libya. Mikopo: UN Photo/Manuel Elías na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumatano, Septemba 04, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Sep 04 (IPS) – Hali…

Read More

Jalada anayedaiwa kubaka mwanaye lapelekwa kwa DPP

Dodoma. Jeshi la Polisi limekamilisha upelelezi wa tuhuma dhidi ya baba anayedaiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa miezi sita. Limeeleza leo Jumatano Septemba 4, 2024 jalada limepelekwa katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya hatua zaidi. Tukio hilo linadaiwa kutokea Jumapili Septemba mosi, katika Mtaa wa Mbuyuni, Kata ya…

Read More

MUONEKANO MPYA SERENGETI BEER – MWANAHARAKATI MZALENDO

Serengeti Breweries Limited imezindua muonekano mpya na maridadi kwa chapa zake pendwa, ikiwemo Serengeti Premium Lager, Serengeti Premium Lite, na Serengeti Premium Lemon.  Mabadiliko haya yanalenga kusherehekea urithi wa kitanzania na ubora ambao Watanzania wameuzoea, huku ikiwavutia kizazi kipya cha wapenzi wa bia.   Serengeti Premium Lager  Serengeti Premium Lemon Serengeti Premium Lite

Read More

WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WA JIMBO LA SAME MASHARIKI WAWASILI DODOMA KWA MWALIKO WA MBUNGE

NA WILLIUM PAUL, DODOMA. WALIMU Wakuu wa shule za sekondari na Wasaidizi wao(Makamu) kutoka katika jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamewasili jijini Dodoma kwa mwaliko kutoka kwa Mbunge wa Jimbo hilo, Anne Kilango Malecela wa kuhudhuria kikao cha Bunge hapo kesho kujifunza jinsi shughuli zake zinavyoendeshwa. Walimu hao ambao walipokelewa na mwenyeji…

Read More

Bibi asimulia mjukuu alivyokosa matibabu kisa Sh20,000

Mwanza. Mwamvua Said (75), mkazi wa Kayenze Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amewezeshwa bure kadi ya bima ya afya kwa ajili yake na wajukuu zake watano. Amesema alishawahi kurudishwa nyumbani na mjukuu wake aliyekuwa anaumwa kwa kukosa Sh20,000 ya matibabu. Furaha ya bibi huyo ilianza kuonekana alipoitwa  jina lake kwa ajili ya kukabidhiwa kadi ya…

Read More

TANAPA yaanza na mkakati wa kuboresha barabara zilizopo Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti

Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti Akizungumza leo na waandishi wa habari ambao wametembelea eneo hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha alipongeza hatua zinazochukuliwa na…

Read More