WAZIRI RIDHIWANI AIPONGEZA LESCO – MICHUZI BLOG

    Na: Mwandishi wetu – Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amepongeza LESCO kwa kuendelea kusimamia haki na uwajibikaji wa masuala ya kazi, uchumi na kijamii. “Nitumie fursa hii kuwapongeza kwa moyo wa dhati kwa kutekeleza vema majukumu yenu kwa ufanisi ili…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA ELIMU..

NA WILLIUM PAUL, DODOMA. NAIBU Waziri Ofisi ya Rais na Serikali za mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Zainab Kasimba amesema kuwa, serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu na itaendelea kuboresha mazingira mazuri ya walimu kufundishia.  Naibu Waziri Zainab alitoa kauli hiyo alipokutana na…

Read More

MAADHIMISHO YA MAULIDI KUFANYIKA KITAIFA GEITA.

Maadhimisho ya kitaifa ya maulid ya kuzaliwa kwa mtume Muhammad yanatarajiwa kufanyika usiku wa septemba 15/16 katika viwanja vya CCM kalangalala mkoani Geita. Akitoa taarifa hiyo sheikh mkuu wa mkoa alhaji Yusuph Kabaju mbele ya waandisishi wa habari alisema kuwa maulid hiyo inatarajiwa kuwa ya kipekee ambayo itatambulika kama Maulid ya dhahabu ambayo itakutanisha makundi…

Read More

Mamilioni yapo nje nje leo kupitia Uefa National League

  Wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kuifanya wiki yako kua ya ushindi kwa kushinda mamilioni kupitia michuano ya Uefa Nations League ambayo itakwenda kupigwa leo katika viwanja mbalimbali. Kipindi hiki ambacho ligi zimesimama haupaswi kukakaa kinyonge kwani michuano ya Uefa Nations League itaendelea kupigwa na imepewa Odds za kibabe kabisa pale kwenye tovuti…

Read More

WAZIRI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, jijini Dodoma leo Septemba 5, 2024. Ujumbe huo umekuja kumpatia mrejesho wa ushirikiano uliopo kati…

Read More

TADB yakopesha vikundi ng’ombe 153 wa maziwa

Pemba. Ili kukabiliana na changamoto ya kukosa maziwa na kuimarisha lishe, vikundi saba vya vya ufugaji vimepewa ng’ombe 153 kuwezesha sekta ya maziwa kukua. Ng’ombe hao wenye thamani ya Sh800 milioni wamenunuliwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutoka Afrika Kusini. Wakizungumza baada ya kukabidhiwa ng’ombe hao leo Septemba 5, 2024 baadhi ya wafugaji…

Read More