Watoto 160,000 zaidi walichanjwa dhidi ya polio kusini mwa Gaza – Global Issues

Mashirika ya Umoja wa Mataifa na washirika katika Ukanda huo wataendelea kutoa chanjo “watoto wengi wa Gaza iwezekanavyo” wakati wa mapumziko yaliyokubaliwa ya kibinadamu, kabla ya kuhamia kaskazini mwa eneo lililoharibiwa na vita. UNRWAaliongeza. Maelfu ya familia walitembelea vituo vya afya kupata dozi zao kutoka kwa timu za matibabu za Umoja wa Mataifa, UNRWA iliripoti….

Read More

WIKIENDI INAANZA KIBABE NA MERIDIANBET LEO

WIKIENDI yako inaanza kibabe kupitia kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet ambapo itachezwa michezo kadhaa ambayo itatoa fursa ya wewe mteja wao kuianza wikiendi kibabe leo Ijumaa kwa kupiga mamilioni. Ukikubali kupitwa na Ijumaa ya kibabe leo ni wewe tu kwani itajumuisha michezo mikubwa kutoka barani ulaya na Afrika, Kwani michuano ya Uefa Nations…

Read More

KANISA LA KIASKOFU ANGLILANA JIMBO JIPYA LA TANZANIA WAOMBA USHIRIKIANO WA SERIKALI

.Askofu wake wa kwanza nchini kusimikwa Septemba 15, watoa neno kuhusu sadaka Na Said Mwishehe,Michuzi TV KANISA la Kiaskofu la Anglikana jimbo jipya la Tanzania, limeiomba serikali kushirikiana nayo kuleta maendeleo katika sekta ya elimu, maji, afya, michezo na miundombinu, hasa sehemu za vijijini. Mbali ya kuomba ushirikiano na Serikali ,Septemba 15 Mwaka huu kanisa…

Read More

TBS YASHIRIKI MAONESHO YA 21 YA WAHANDISI TANZANIA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya 21 ya Wahandisi Tanzania  kwa kutoa elimu kwa wahandisi kuhusu uwepo mashine bora na za kisasa katika maabara ya TBS ambazo wanaweza katika miradi yao kuhakiki bidhaa katika miradi yao. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 6, 2024 katika Maonesho…

Read More

Sloti ya Capital City Derby Meridianbet

  Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe shabiki wa timu yenye jezi nyekundu au nyeusi na nyeupe, timu yako uipendayo itakusaidia kushinda bonasi za kushangaza na Mamilioni kutoka Meridianbet. Karibu kwenye tamasha la mpira wa miguu – cheza Capital City Derby!…

Read More