CHATANDA AZINDUA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA,KATIMBA ATAJA NAMNA ITAKAVYOWAFIKIA WANAWAKE NA WATOTO

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Marry Chatanda, akizindua  kamati ya Haki na Sheria ya UWT,iliyoenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria leo Septemba 7,2024 jijini Dodoma. Na.Mwandishi Wetu_DODOMA MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Marry Chatanda ,amezindua kampeni ya msaada wa Kisheria inayoratibiwa na Kamati ya Haki na Sheria…

Read More

MFUKO WA UWEKEZAJI WA PAMOJA ‘ALPHA CAPITAL’ WAINGIA MAKUBALIANO NA KAMPUNI TANZU YA SOKO LA HISA UINGEREZA

MFUKO wa Uwekezaji wa Pamoja wa Alpha Capital umeingia makubaliano na kampuni tanzu ya soko la hisa la Uingereza, Infinitive, kwa ajili ya kupata taarifa muhimu za masoko duniani. Akizungumza katika hafla hiyo leo Septemba 7,2024 Jijini Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Alpha Capital Fund, Gerase Kamugisha, akieleza kwamba Infinitive itatoa huduma…

Read More

Wanawake CCM waguswa matukio ya ulawiti, ubakaji

Dodoma. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT), Mary Chatanda ameiagiza kamati ya haki na sheria ya jumuiya hiyo, wabunge na wadau wengine kufanya tathimini ya kina ya sababu za kuongezeka kwa matukio ya ukatili wa kijinsia nchini licha ya kuwapo adhabu kali. Chatanda amesema tathimini hiyo ilenge pia kuona kama vifungu…

Read More

Ajali tatu zaua watu 25, zajeruhi 77 ndani ya wiki moja

Dar/Mikoani. Ikiwa ni wiki moja tangu kumalizika Wiki ya Usalama Barabarani, ajali tatu zimetokea katika mikoa ya Mbeya na Morogoro na kusababisha vifo vya watu 25 na majeruhi 77. Wiki ya Usalama Barabarani iliyoanza Agosti 26 ilihitimishwa Agosti 30, 2024. Kwa kawaida katika wiki hiyo hufanyika ukaguzi wa vyombo vya moto na hutolewa stika maalumu…

Read More

VIDEO: Kibano kwa wahubiri wa miujiza, fedha

Dar es Salaam. Serikali imevunja ukimya kuhusu uwepo wa viongozi wa dini nchini wasiozingatia misingi ya sheria na maandiko ya vitabu vitakatifu, badala yake wanawatumia waumini kama mtaji wa kujilimbikizia mali, huku wakiwapa mafundisho yasiyofaa. Kutokana na hayo, Makamu wa Rais Dk Philip Mpango ameitaka Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Ofisi ya Msajili wa…

Read More

Simulizi ya mwaka mmoja kijana aliyeoa wake watatu kwa mpigo

Katavi. Julai 7, 2023, mkazi wa Mtaa wa Kivukoni uliopo katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Athumani Yengayenga (36) aliushangaza ulimwengu kwa kufungua ndoa na wanawake watatu siku moja. Kijana huyo alifikia uamuzi huo ili kukamilisha sunah ya imani ya Kiislamu ambapo dini hiyo inaruhusu mwanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja. Athuman Yengayenga alifunga ndoa…

Read More