
Silaa awataka wana-CCM Ukonga kunadi Maendeleo ya Dkt. Samia.
Na Mwandishi Wetu, Ukonga. Mbunge wa Jimbo la Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo hilo, kushirikiana na kuyasema mambo mazuri yote yanayofanywa na Serikali, ikiwepo utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya…