Majaliwa aalika wawekezaji kushiriki uchumi wa buluu

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kushiriki katika uchumi wa buluu, akisisitiza fursa kubwa za uwekezaji zilizopo nchini Tanzania katika sekta hiyo. Akihutubia Mkutano wa nane wa Mawaziri wa Shirika la Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na Bahari, Maji ya Ndani na Uvuvi,…

Read More

Wasimulia Askofu Sendoro alivyovunja makundi Dayosisi ya Mwanga ilipozaliwa

Moshi. “Nguzo imeanguka,” hivyo ndivyo  unavyoweza kusema baada ya wachungaji wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT), kusimulia namna Askofu Chediel Sendoro alivyowaunganisha wanadayosisi hiyo na kuondoa makundi yaliyokuwa yakivutana na kusababisha migogoro. Askofu Sendoro alifariki dunia Septemba 9, 2024 kwa ajali iliyotokea eneo la Kisangiro, Wilaya ya Mwanga mkoani…

Read More

Chadema, ACT-Wazalendo waibana Serikali | Mwananchi

Dar es Salaam. Vyama vya Chadema na ACT- Wazalendo vimeibana Serikali, vikitaka hatua kuchukuliwa kushughulikia na kukomesha vitendo vya utekaji au watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema iwapo hakuna hatua zitakazochukuliwa dhidi ya wakuu wa taasisi zinazosimamia ulinzi na usalama wa raia, wafuasi na wanachama wa chama hicho watainga…

Read More

DC ashtukia uchafu wa mashuka hospitali za umma

Arusha. Serikali imesema itachukua hatua kali dhidi ya wahudumu wa afya watakaoshindwa kudumisha usafi na kusababisha mashuka kutumika yakiwa machafu na kufubaa rangi kwenye hospitali za umma. Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, alisema uchafu kwenye vituo vya afya haukubaliki, na wahudumu wazembe watachukuliwa hatua kali. Kiswaga ametoa kauli hiyo alipokuwa akipokea msaada wa vifaa…

Read More

RAIS SAMIA AIPA “SERENGETI GIRLS” MILIONI 30

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 kwa timu Taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, baada ya kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa nchi za Kaskazini mwa Afrika (UNAF U-17) katika mashindano yaliyofanyika nchini Tunisia 2024. Akikabidhi kitika hicho leo Septemba 11, 2024…

Read More

Sarafu mtandao zawaingiza matatani walimu wanne, mfanyabiashara

Dodoma. Walimu wanne na mfanyabiashara mmoja wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency), kisha kutoweka na fedha walizowekeza. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, ametoa taarifa leo Septemba 11, akieleza kuwa watuhumiwa walikamatwa Septemba 7, 2024, katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza kufuatia malalamiko…

Read More